Posts

Showing posts from December, 2017

UFAHAMU JUU YA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE

Image
Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia  kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana  kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko  wa homoni kwa mwanamke.                                                                 II.          VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI       Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na m

FAHAMU AFYA YA UZAZI YA MWANAUME

Image
                                         Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: " Upungufu wa nguvu za kiume" .  Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+.  Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume: -         Shahawa (sperms) kukosa uwezo wa kutunga mimba. -     Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa. -         Uume kutosimama (mashoga) Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi

UFAHAMU WA KINA KUHUSU TATIZO LA BAWASIRI.

Image
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine hutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.  Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 30 – 70.    Kuna aina mbili za bawasili : Bawasiri ya Ndani : Hii ni hali ya nyama kuota ndani ya sehemu ya haja kubwa bila kujitokeza kwa nje. Bawasiri ya Nje : Hii ni nyama au vimbe zinazojitokeza nje baada ya kuota kwa ndani. Inatokea nje kwa walioathirika zaidi. Pia watu wanaokaa sana kwa muda mrefu. Ugonjwa huu unapelekea kupata matatizo ya kiafya ambayo sio rahisi kukabiliana nayo, hivyo husababisha vifo vya ghafla.                                   II.          CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu h upelekea kutokupata choo vizuri. Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chak