Posts

UFAHAMU KUHUSU HOMA YA INI

Image
Inakadiliwa kwamba  zaidi ya watu milioni 350 wanaishi na virus vya ugonjwa wa ini Duniani. Takwimu Za  mwaka 2015 zinaonesha kwamba zaidi ya watu 900,000 walifariki kutokana na ugonjwa huu wa homa  ya ini. Lakini pia licha ya kuwa ugonjwa huu unaua mamilioni ya watu Kila mwaka. Ugonjwa huu huwa hauna dalili zile Za moja kwa moja Na kipekee zenye  kumwonesha mtu Kama ameathirika na ugonjwa huu. Hivyo Basi ,Homa ya Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambayo ikishaingia mwilini hushambulia Ini. Kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivi vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus) .Virus hivi husambazwa kwa njia ya damu, majimaji, mate au jasho. Ugonjwa huu usipochukuliwa hatua mapema husababisha vimbe Na kupelekea kifo. Virus hivyo vya homa ya ini  huweza kuishi kwa muda mrefu zaidi nje ya mwili Na huweza kumuambukiza mtu bila kujua.Na inakadiliwa  virus  hivi kuwa ni hatari zaidi ya virus ya UKIMWI. JINSI INAVYOAMBUKIZWA : Katika maeneo hatari zaidi d

UFAHAMU JUU YA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE

Image
Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia  kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana  kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko  wa homoni kwa mwanamke.                                                                 II.          VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI       Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na m

FAHAMU AFYA YA UZAZI YA MWANAUME

Image
                                         Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: " Upungufu wa nguvu za kiume" .  Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+.  Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume: -         Shahawa (sperms) kukosa uwezo wa kutunga mimba. -     Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa. -         Uume kutosimama (mashoga) Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi