FAHAMU AFYA YA UZAZI YA MWANAUME


                                        

Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: "Upungufu wa nguvu za kiume"Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+. 
Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume:
-       Shahawa (sperms) kukosa uwezo wa kutunga mimba.
-   Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.
-       Uume kutosimama (mashoga)

  1. Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri. Baadhi ya hivyo viungo vinavyohusika na nguvu za kiume ni: Moyo, Ini, Figo, Ubongo, Mishipa ya damu, Tezi dume, Misuli, .. … … n.k. Kunapokuwa na hitilafu kwenye viungo hivi ndiyo vinapelekea moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Hivi ni baadhi ya vitu vinavyosababisha viungo tulivyotaja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo mbalimbali ikiwemo vifo. 
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:
-       Uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya.
-       Pombe (aina yoyote).
-     Masturbation (Kujichua, au kupiga punyeto)
-   Kula vyakula vyenye kuharibu mfumo wetu wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive System). Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini.
-       Uzito mkubwa au kitambi
- Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
-       Tatizo la Tezi dume
-       Matatizo ya moyo
-       Kisukari (Diabetes)
-       Stress, Pressure, Cholesterol
-       Hormone imbalance
-       Kukaa kwa muda mrefu

 Kutumia sana madawa yenye kemikali (Hospital). Hapa unatakiwa kuwa makini na kukumbuka kwamba miili yetu haijaumbwa kwa ajili ya madawa ya kikemikali. Miili yetu iliumbwa ili iweze kujitengenezea kinga kupitia vyakula tunavyokula vyenye lishe na virutubisho; siyo madawa ya kikemikali. Tunaenda hospitalini kwa sababu hakuna njia mbadala. Kama wewe unahitaji kuwa na afya bora na ujiepushe na magonjwa mbali mbali, unashauriwa kujenga utaratibu wa kupatia mwili wako lishe kamili na virutubisho muhimu.


  1. Dalili za upungufu wa nguvu za kiume  
Na tunapoongelea suala la upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha:
-       kukosa hamu ya tendo la ndoa
-       Kukosa pumzi 
-     Uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
-       Uume kusimama kwa ulegevu
-       Kuwahi kufika kileleni
-  Kuchelewa sana kufika kileleni: ukizidi kuchelewa mwenzako anapata maumivu makali sana na kuanza kujuta japo hatokwambia kwa sababu ni aibu kwake; na wewe pia hutofurahia tendo la ndoa. Utaathirika kisaikolojia kwa njia moja au nyingine
-       Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi hua wanajihisi kutapika.




  1. Madhara ya Upungufu wa nguvu za kiume
Kabla hatujaenda kutiririka baadhi ya madhara yanayotokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna kitu muhimu sana kwa wanandoa au wapenzi wanastahili kukijua. Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wa kuweza kukojoa zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujua ni vitu gani unastahili kufahamu.
Wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha wenzao kwasababu ya upungufu wa nguvu zao za kiume unawapelekea kutumia njia nyingine mbalimbali wanazozijua ili angalau waweze kuwaridhisha wenzao. Ukweli thabiti ni huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi, utaweza kusimamisha uume wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumia nguvu nyingi kwa kila mshindo. Hivyo basi usihangaike kwenda kwa waganga (kalumanzira), mashekhe, makanisani kuombewa, kwa sababu suala zima ni kwamba unajali vipi afya yako?




Mfumo wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri, utapata madhara yafuatayo:
-       Dharau
-  Kushindwa kumridhisha mwanamke. Hili tatizo linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae kuachika
-       Kushindwa kupata mtoto
-       Kushindwa kupata ladha kamili ya tendo la ndoa
-       Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
-       Uume kusimama kwa ulegevu
-   Fujo kila kukicha. Shida hamzitatui kama watu wazima, na Mara nyingi hamuelewani hata kidogo. Wengine wanaenda kwa waganga, makanisani na kwa mashekhe ili wapate suluhisho la ndoa zao.
-  Kutoka nje ya ndoa (jinsia zote). Vitu unavyoenda kutafuta havieleweki, havina msingi; bali unakaribisha matatizo juu ya mengine.
-    Ndoa kusambaratika, na kurandaranda kila sehemu. Unajishushia heshima mwenyewe bila kujitambua. 
- Uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu



  1. Suluhisho thabiti na la kudumu.
Miili yetu ni sawa na kiwanda. Kiwandani kuna vitu vingi sana: kuna mashine, wafanya kazi, umeme, maji, ... … n.k; kinapokosekana kimoja kati ya hivyo, kiwanda hakiwezi kufanya kazi vizuri. Ndivyo vivyo kwenye miili yetu tukija kwenye upande wa nguvu za kiume. Nguvu za kiume ni kama kiwanda.


Kwa watu wenye changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume, kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala miti samba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyohitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na yenye kueleweka.
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya mfumo mzima wa uzazi, awasiliane nasi kwa namba zifuatazo: 


+255 717795966
mtuianitha@gmail.com






Comments

Popular posts from this blog

UFAHAMU WA KINA KUHUSU TATIZO LA BAWASIRI.

UFAHAMU JUU YA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE

FAHAMU AFYA YA TEZI DUME - PROSTATE GLAND